Tuesday, December 3, 2013

Arise n' Shine, ni watengenezaji wa unga wa lishe na unga wa ugali wa Dona.
Wenyewe wanauita Lishe plus, yaani hapa ni zaidi ya lishe ile tumeizoea. Unga wa uji una virutubisho vyote muhimu kuna soya, ngano, ule, ufuta na karanga pia. Unafaa kwa watoto walioanza kula, wazee, wagonjwa na mimi na wewe. Unga bora wa uji ni mtamu sana na haukinai hata unywe kila dakika. Mimi nimeonja, jaribu na wewe leo

Arise n' Shine wanatengeneza unga wa ugali wa dona. Umefika wakati tuache kula makapi, tule chakula halisi kabisa kwa ajili ya kuimarisha afya. Najua wengi wetu kula dona inaweza kuwa mtihani. Modern Outfit inawaambia DONA MWENZIE MBOGA hahaaa.Utafurahia mlo wako.
Arise n' Shine wanapatikana kwa namba +255 713 77 8129/ +255 759 62 5959
watakuletea popote ulipo.

KWA UNGA BORA WA UJI WAONE ARISE N' SHINE.
ARISE N' SHINE = LISHE PLUS
 

0 comments:

Post a Comment