Monday, March 10, 2014

Tarehe 08 march ni sikukuu ya wanawake wote duniani. Kauli mbiu ya mwaka 2014 ikiwa ni " CHOCHEA MABADILIKO KULETA USAWA WA KIJINSIA" sehemu nyingi nchini Tanzania kukiwa na heka heka za hapa na pale kufurahia siku hii kwa wanawake wengi. Mwamko wa wanawake umekuwa mkubwa sana kwa miaka ya hivi karibuni. Wengi wakivalia vazi la kitenge ili mradi tu kuleta ladha na maana halisi ya siku yenyewe.

Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wanawake wengi wakifanya kazi ambazo zimezoeleka kufanywa na wanaume, ama tumekuwa tukisoma habari za wanawake ambao wameshika nafasi za juu katika nyanja tofauti tofauti. Modern Oufit leo imewaona wanawake ambao wanagusa maisha ya jamii kwa kiasi kikubwa lakini hawajazungumzwa au hatuwafahamu.  That proves that, "Wanawake tukithubutu, tunaweza"

Kirsten, Engineer anayeshughulika na masuala ya maji nchini German. Nmeshaangaa kujua kwamba, ukiachia kazi za u injinia, kwa miaka zaidi ya 20 amekuwa akiendesha piki piki kubwa kama anavyoonekana pichani. She is very calm and friendly but very serious and smart at work.

 Fatuma Kirita, au (Mrs) Ni mmoja ya wanawake wachache ambao wamekuwa kwenye sekta ya Kibenk kama kiongozi kwa muda wa miaka mingi. Fatuma (MBA -CM holder from Mzumbe University) amekuwa manager kwa miaka zaidi ya ishirini tangu akianzia NBC baadae NMB na sasa mwajiriwa wa ACB akiwa branch manager Ubungo branch. To be able to maintain managerial position that means her performance is superb, Hongera mama Kirita that shows she is a great leader, a friend,smart and very charming woman. Personaly Loves you sana sana
her appearance in Kitenge attire. Love the mshono

  



   

Annah Lupemba, happens to be one of the successful woman carrier wise. Branch manager NIC Bank Mwanza branch. As seen in a photo she is lovely, very talkative and a person you can make friendship with her. She is supportive to woman initiatives with positive thinking. Annah keep it up we all love you and appreciates you more and more. Before I forget, Annah is a supporter of Modern Outfit.

 

This cake was for all the women working with her at NIC Bank, Mwanza branch. I can Imagine how happy staff may become having a boss like you Annah. Yami yami I wish to have just a piece of it. 


 Above is Mrs Kimaro. (teh teh teh, I am not sure if mouth can call you this new name Kwi kwi) She holds Senior position at Tanzania Women Bank. Modern Outfit model and Mamdogo of Lg (Modern outfit kids model). Proffessional in Human Resource Management. She looks pretty in her Kitenge wear.
umependa mshono muone Fundi kassim 0713 62 3855 - kijitonyama karibu na police mabatini.

Heka heka za siku ya wanawake Mkoani Mwanza: matukio

Annah and Agnes in a pose

Annah and Mama Mpelumbe, wow what a smile



happy women, Agness hii Peplum inahusika. Agness likes designs, she is georgous if it happens you meet her. Friend of everyone. Hachagui habagui.






The poze hahaa haaa


Social worker, from Manyara. Younger sister from another mama. Jacqueline Barongo. Fun girl I have known for years now. Siku nikitaka kucheka, namtafuta hahaa haaa love you mamii.


Johari in kitenge wear, she looks fabulous in a short hair. she can have a bald hair and still look mwaah. This lady is beautiful, very beautiful and natural. She has a kind heart and polite.


Modern Outfit herself in Kitenge wear lol. 

1 comments:

Anonymous said...

Beauty with brains.....

Post a Comment