Friday, December 20, 2013




New bags, new colours, new design, new brand. Press your order to receive them january 15th, 2004

Thursday, December 12, 2013


NYUMBA NZURI YA KUPANGA, MPYA NA YA KISASA KWA MATUMIZI YA FAMILIA.
IPO MBEZI KWA MSUGULI. NYUMBA INA
  • MASTER BEDROOM 2
  • NORMAL BEDROOM 2
  • SITTING ROOM
  • DINNING ROOM
  • KITCHEN
  • STORE
  • PARKING SPACE TO ACCOMODATE UP TO 3 CARS
  • PAVING STONES.

ROOMS ZOTE NI KUBWA, MADIRISHA MAKUBWA NA YA KISASA YENYE KUPITISHA HEWA SAFI NA YA KUTOSHA. NYUMBA INA FULL TILES, GYPSUM.
KODI NI TZS 450,000.00 PM (FIXED PRICE)
FOR ONLY SERIOUS TENANT
NOTE: DALALI HAHITAJIKI, WASILIANA NA MWENYE NYUMBA MOJA KWA MOJA

CONTACT PERSON: EMMA ALEX
                                    0784 822 238
             
                                   MONICA NYALUSI
                                   0754 62 6360 /0712 233 545

Tuesday, December 3, 2013

Arise n' Shine, ni watengenezaji wa unga wa lishe na unga wa ugali wa Dona.
Wenyewe wanauita Lishe plus, yaani hapa ni zaidi ya lishe ile tumeizoea. Unga wa uji una virutubisho vyote muhimu kuna soya, ngano, ule, ufuta na karanga pia. Unafaa kwa watoto walioanza kula, wazee, wagonjwa na mimi na wewe. Unga bora wa uji ni mtamu sana na haukinai hata unywe kila dakika. Mimi nimeonja, jaribu na wewe leo

Arise n' Shine wanatengeneza unga wa ugali wa dona. Umefika wakati tuache kula makapi, tule chakula halisi kabisa kwa ajili ya kuimarisha afya. Najua wengi wetu kula dona inaweza kuwa mtihani. Modern Outfit inawaambia DONA MWENZIE MBOGA hahaaa.Utafurahia mlo wako.
Arise n' Shine wanapatikana kwa namba +255 713 77 8129/ +255 759 62 5959
watakuletea popote ulipo.

KWA UNGA BORA WA UJI WAONE ARISE N' SHINE.
ARISE N' SHINE = LISHE PLUS