Wednesday, March 12, 2014

I call them hidden champions, Ladies who work hard for their own. They are fashionistaz chassing money and success. Creativity is in point. These and any other women are icons to growing girls, jump into entrepreneurship dispite the challenges. Spotted few women wanaokimbiza hela vibaya. Kay Kivilla in Self...

Monday, March 10, 2014

Tarehe 08 march ni sikukuu ya wanawake wote duniani. Kauli mbiu ya mwaka 2014 ikiwa ni " CHOCHEA MABADILIKO KULETA USAWA WA KIJINSIA" sehemu nyingi nchini Tanzania kukiwa na heka heka za hapa na pale kufurahia siku hii kwa wanawake wengi. Mwamko wa wanawake umekuwa mkubwa sana...

Saturday, March 8, 2014

I AM CRAYZ IN ELECTRIC BLUE AND MUSTARD COLOUR. ....  ...
Ni Jasiri na mvumilivu, mashauri, mchapakazi, mwenye upendo, mlezi, anatunza, anakosoa, mstahimilivu, shujaa na msiri, anajali, ana heshima na mtiifu. Mwenye kujituma pia ni mjasiriamali. Ni wewe mwanamke unayesoma ujumbe huu. Furahia siku kuu yako . An international women's day....

Saturday, March 1, 2014

DO YOU LIKE THIS NECKLACE? I ADMIRE JADORE, SHE IS CREATIVE WHEN IT COMES TO FASHION. THIS NECKLACE GOES FOR 65,000. PRESS YOUR ORDER TWENDE SAWA ...
GET VITUPIO FROM MODERN OUTFIT, PRESS YOUR ORDER VIA 0712 23 3545 OR LEAVE YOUR COMMENT, WE WILL GET IN TOUCH WITH YOU MODERN OUTFIT; YOU ORDER WE DELIVER AT YOUR CONVINIE...