Friday, December 20, 2013

New bags, new colours, new design, new brand. Press your order to receive them january 15th, 20...

Thursday, December 12, 2013

NYUMBA NZURI YA KUPANGA, MPYA NA YA KISASA KWA MATUMIZI YA FAMILIA. IPO MBEZI KWA MSUGULI. NYUMBA INA MASTER BEDROOM 2 NORMAL BEDROOM 2 SITTING ROOM DINNING ROOM KITCHEN STORE PARKING SPACE TO ACCOMODATE UP TO 3 CARS PAVING STONES. ROOMS ZOTE NI KUBWA, MADIRISHA MAKUBWA NA YA KISASA YENYE KUPITISHA HEWA SAFI NA YA KUTOSHA. NYUMBA INA FULL TILES, GYPSUM. KODI NI TZS 450,000.00...

Tuesday, December 3, 2013

Arise n' Shine, ni watengenezaji wa unga wa lishe na unga wa ugali wa Dona. Wenyewe wanauita Lishe plus, yaani hapa ni zaidi ya lishe ile tumeizoea. Unga wa uji una virutubisho vyote muhimu kuna soya, ngano, ule, ufuta na karanga pia. Unafaa kwa watoto walioanza kula, wazee, wagonjwa na mimi na wewe. Unga bora...