
ZIMERUDI TENA, ZARA PLAITED LEATHER SHOPPER, WENGI TUSHAZIBEBA SANA TU. NYINGI ZILIKUWA BLACK AND BROWN, SASA TUMELETEWA NAVY BLUE (DARK BLUE), GREY NA BROWN IMERUDI TENA. QUALITY YAKE NI NZURI SANA, NGOZI HASWAAAAA. KONG'OLI HANDBAG UJIODEE UNAYOPENDA
BINAFSI HII NAVY IMENISHIKA,
NOTE:
KUITOFAUTISHA ORIGINAL...