
Arise n' Shine, ni watengenezaji wa unga wa lishe na unga wa ugali wa Dona.
Wenyewe wanauita Lishe plus, yaani hapa ni zaidi ya lishe ile tumeizoea. Unga wa uji una virutubisho vyote muhimu kuna soya, ngano, ule, ufuta na karanga pia. Unafaa kwa watoto walioanza kula, wazee, wagonjwa na mimi na wewe. Unga bora...